NYUMBA KUBWA YA KISASA
$Nyumba ya kisasa inauzwa na kupangishwa – Mikocheni B
Eneo: Mikocheni B, karibu na Alpha Secondary School
Maelezo ya Nyumba:
Vyumba 3 vya Master
Eneo la kiwanja: Meta za mraba 600
Umiliki kamili (Full Ownership)
Hati miliki ipo (Title Deed)
Bei ya kuuza: USD 450,000
Kodi kwa mwezi: USD 2,000
Gharama ya kuangalia nyumba: Tsh 20,000
Kwa maelezo zaidi au kupanga muda wa kuja kuangalia, tafadhali piga simu.