SUZUKI JIMNY FOR SALE
$SUZUKI JIMNY FOR SALE
Inauzwa gari aina ya Suzuki Jimny, mwaka 2005. Gari ipo katika hali nzuri sana na imehifadhiwa vizuri. Ina engine ya CC 650 yenye matumizi mazuri ya mafuta.
Gari ina full document zote muhimu na ipo tayari kwa matumizi bila tatizo lolote. Pia ina AC nzuri inayofanya kazi vizuri pamoja na interior safi.
Bei ya gari ni TZS 12.8 Million tu. Bei hii ni nafuu ukilinganisha na ubora wa gari.
Kwa mawasiliano zaidi au kuja kuiona gari, karibu sana kuwasiliana nasi.