RAUM NEW MODEL (DVV) FOR SALE
$RAUM NEW MODEL (DVV) FOR SALE
Gari aina ya Toyota Raum, mwaka 2005, engine CC 1490. Gari ipo katika hali nzuri sana na ina Full File ya nyaraka zote muhimu.
Ina Full AC, safi ndani na tayari kwa matumizi bila tatizo lolote.
*Bei: 10.8 Million TZS*
Gari hii ni imara na nzuri kwa matumizi ya kila siku.